16 Mei 2013 - 19:30
Unyama wa magaidi wa Syria

magaidi wa Siria wamekuwa wakitekeleza jinai mbaya na zakutisha dhidi ya wananchi wa Syria kila wakati

magaidi hao wakulipwa ambao ni raia wa  nchi mbalimbali wakiwa pamoja na waasi wa Syria wamekuwa wakiwauwa watu ambao hawana hatia, wamekuwa wakibaka wanawake,kulipua misikiti na hata kufukua makaburi.jambo baya zaidi ni pale wanapochinja watu kwa kutumia visu na wengine kuwa toa vioungo vyao vya tumboni, haya yote wanayafanya wakitia chini ya mwamvuli wa kiislamu na kupokea msaada kutoka katika nchi za kiarabu mfano wa Qatar na Saudia arabia pia kutoka kwa nchi nyingine kama Marekani, utawala haramu wa Israel na waitifaki wao. Picha mbalimbali za Magaidi SyriaMagaidi wakiwaua raia watatu ambao wanashakiwa kuhusiana na serikali mbele ya kadamnasi.